Samail College of Technology and Industry

RATIBA YA MITIHANI MAALUMU NA MITIHANI YA SUPP

Maelezo Muhimu

Wanafunzi ambao walizuiliwa kufanya mitihani kwa sababu ya kutotimiza asilimia ya mahudhurio darasani watawasiliana na walimu wa masomo husika na wanatakiwa kuingia darasani na kutimiza vipindi walivyokosa ndani ya wiki mbili mfululizo. Kila mwanafunzi atalipia TSH 20,000 kwa somo alilozuiliwa.

Kwa wanafunzi ambao walijiingiza madarasani kipindi cha mtihani na hali wamezuiliwa kufanya mitihani, matokeo yao hayakutambuliwa na Bodi ya Chuo na watalipia faini ya TSH 10,000 pamoja na gharama za masomo ya ziada kwa masomo waliyokosa, ambapo itakuwa jumla ya TSH 30,000/= kwa somo.

Wanafunzi hawa watafanya mitihani ya special ambapo course work zao zitakuwa ni zile za awali. Kwa wanafunzi wanaofanya SUPP, mitihani yao ni asilimia 100; hivyo hakutakuwa na course work na mwanafunzi atapata alama C kwenye somo hilo iwapo atafikia ufaulu wa angalau marks 50 na zaidi.

Mwanafunzi ambaye amepata FAIL “DISCO” anatakiwa kuwasiliana na uongozi wa chuo kwa hatua zaidi.

Timetable

12 SEPT 2026

Saturday
08:00 – 10:00
GST 05101GST 04102BAT04201BAT06206BAT05208
11:00 – 13:00
GST 04103BAT04202BAT06208BAT05206
14:00 – 16:00
BAT04203BAT06209BAT05207

13 SEPT 2026

Sunday
08:00 – 10:00
BAT06101BAT05205
11:00 – 13:00
BAT05209