Samail College of Technology and Industry
TANGAZO LA MAHAFALI YA TATU
Chuo kinawatangazia wanafunzi wote kwamba mahafali ya tatu ya Chuo yatafanyika tarehe:
20
Tarehe ya MahafaliSEPTEMBER 2026
- Wanafunzi wote wa diploma na cheti wanatakiwa kukamilisha zoezi la clearance ili waweze kugraduate.
- Gharama za graduation ni TSH 35,000/=, inayojumuisha mchango wa graduation pamoja na cheti cha kumalizia masomo.
- Wanafunzi wa diploma watalazimika kulipia TSH 10,000 ya ziada kwa ajili ya kupatiwa LEAVING CERTIFICATE MAALUMU.
Diploma na ChetiTSH 35,000/=Graduation na cheti cha kumalizia masomo
Diploma Pekee — ZiadaTSH 10,000Leaving Certificate Maalumu